Latest Updates

BEEF: SIKIA WIMBO WA 'JAMBO SQUAD' WAKIMCHANA 'DOGO JANJA' ....DOGO MBUMBUMBU

Wakali wa Arusha, Jambo Squad wametoa ngoma wakimchana Dogo Janja 'Janjaro' .Kulingana na hiyo track Dogo Janja amewasaliti mara 3 na amewakana. Dogo Janja kabla hajatoka kimziki alikua chini ya Jambo Squad ambao ndio wamemfundisha kupanga mistari na sasa kawakacha na zaidi anaiponda HIPHOP.  Sikiliza hiyo ngoma inayoenda kwa jina la 'dogo mbumbumbu' hapa chini

<<BOFYA HAPA KUSIKIA 'DOGO MBUMBUMBU' >>