Beyonce akiwa na marafiki zake na dada yake Solange amabaye ni mwanamuziki pia, walikuwa katika matembezi ya mapumziko huko nchini Jamaica, Beyounce alipost picha ambayo ameonekana akiwa ameshikilia mkono mmoja bia na mkono mwingine kitu kama msokoto wa bangi …

Wakati dada yake na rafiki zake wakijachia na bia huku wakidandia miti, Beyonce alikuwa amepozi na chupa ya bia na kitu kama bangi. Picha hiyo imezua mjadala kwa mashabiki kwamba mwana mama huyo anatumia mmea huo wa kijamaica