Latest Updates
Home »
DIAMOND
»
DIAMOND KATOA KALI BAADA YA KUVAA SURUALI YA 'JOKATE'
DIAMOND KATOA KALI BAADA YA KUVAA SURUALI YA 'JOKATE'
Hahaha Diamond kanichekesha sana leo.
Baada ya kuandamwa na mafashion police kutoka kila pande pamoja na
mashabiki wake kuhusu suruali yake aliyo vaa kwenye harusi ya P-Square
(pichani), leo hii ameitinga tena na kurusha picha Instagram
akiambatanisha na kadua ili watu wasimchambe.

