Latest Updates

DIAMOND "UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA" ....diamond amtolea uvivu baby madaha...soma mkasa


Diamond Platnumz amtolea uvivu baby madaha " ukiona manyoa ujue kaliwa"

"Tehee vitu vingine vinachekesha sana,mwanamke ambae hajawahi kuwa mpenzi wako atakuitaje malaya burebure tu bila sababu?ukiona mtu analalamika kwenye media ujue kuna kitu nyuma yake.
Mbona mm cjawahi kusema yeye malaya au mastaa wengine wa kike hawajawahi kuniita malaya muulize kimemsibu nini aseme ukweli.
Kila mtu na maisha yake anidai wala simdai kama malaya hayo ni maisha yangu binafsi sili cha mtu namtumia jasho langu.
Mm siwezi bishana na mwanamke aende akabishane na kina uwoya au wema sepetu sio mimi mm ila ukiona manyoa ujue kaliwa"