Latest Updates
Home »
Uncategories »
DUDE AONGELEA USAGAJI KWA MASTAA, soma maneno aliyotumia kukashifu
DUDE AONGELEA USAGAJI KWA MASTAA, soma maneno aliyotumia kukashifu
MSANII wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa mastaa
wa kike wengi wanajihusisha na usagaji kutokana na tabia zao za kuiga
kila kitu kutoka nje ya nchi.
Akipiga stori na MDADISI pasipo kuwataja majina, Dude alisema
tabia ya usagaji imekithiri kwa mastaa wa kike kutokana na kupenda kuiga
kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo picha nyingi zinatoka nje
ya nchi jambo ambalo linaharibu sifa nzima ya wasanii.
“Tuepuke kuiga vitu ambavyo siyo utamaduni wetu, mastaa tumekuwa
tukiiga kila tunachokiona kwenye mitandao kama hiyo tabia ya usagaji
Tanzania siyo maadili yetu hayo,” alisema Dude.