Mwanamke huyu alishawahi kukamatwa mara nane kwa makosa tofauti
alikamatwa muda wiki chache zilizopita akijaribu kuingiza dawa za
kulevya nchini Marekani kwa njia ya kuvaa nepi ya watoto iliyotengenezwa
na kujazwa dawa za kulevya aina ya Cocaine. Picha Ziko Hapa.
Michelle Blassingale alikamatwa mwezi wa kwanza mwaka huu akijaribu
kupita uwanja wa ndege wa Kennedy. Amehukumiwa miaka miwili jela.