Latest Updates

HUU NDIO UJUMBE RONALDO KAMWANDIKIA FERGUSON JANA

"Hi boss. Natumia nafasi hii kukutumia ujumbe kwamba nataka kujumuika na kila mmoja kama ulivyonijenga kwangu kwa kitu ambacho kilikua cha kushangaza na kamwe sitokuja kusahau ktk maisha yangu.

"Wakati nawasili Manchester nilipokua na miaka 18, ulikua kama Baba yangu ktk soka. Ulinipa nafasi na kunifundisha vitu vingi na ninajisikia furaha kukutumia ujumbe huu.

"Nakumbuka wakati nipo hapa niliuliza kama jezi No.28 ipo, na badala yake ukanipa jezi No.7 Iliniweka ktk wasiwasi mkubwa, lakini uliniambia haitakua tatizo, na ninastahili kuvaa ktk mwili wangu kwa kuwa nilikua mchezaji bora na wa kipekee..

"Ulinifundisha namna ya kuwa mchezaji wa kulipwa, kuwa mwanaume mzuri na kwa njia hii unastaili kupokea hii tuzo kwa sababu ni mtu wa ajabu wa kipekee na uliyekamilka. Wewe ni namba moja.

"Nakutakia jioni njema na tutaikumbuka..Take care"