Latest Updates

IRENE UWOYA AONGEA TENA BAADA YA MASHABIKI KUMKASHIFU, soma alichokisema

“Napenda kuchukua nafasii hiii kuomba samahan kwa wote nilio wakosea...napia mim nimewasamehe...nataka nimaliza mwaka kwa amani na upendo...nawapenda wote sina kinyongo na mtu...asante mwenyez mungu kwakunipa nguvu…”