Latest Updates

JUSTIN BIEBER ACHARUKIWA NA WADAU BAADA YA TETESI KUWA ATACHUKUA NAFASI YA PAUL WALKER KWENYE 'FAST & FURIOUS 7'


Wakati Universal Studios na timu nzima inayohusika kutengeneza movie ya Fast & Furious wakiwa wanaendelea kutafuta njia ya kuimalizia movie hiyo bila Paul Waker, Kuna uvumi umeibuka jana (December 11) na kuenea katika mitandao kuwa ‘eti’ mwimbaji  Justin Bieber (19) huenda akuchukua nafasi ya marehemu Paul Walker katika movie ya Fast & Furious 7.
Pamoja na kuwa huo ni uvumi tu na hakuna uthibitisho wowote lakini mashabiki wa filamu hiyo kupitia twitter wameponda kwa kusema Bieber hawezi kuziba nafasi ya Walker.
Soma baadhi ya tweet hizo: