Latest Updates

MAAJABU YA DUNIA : HII JAMII YA NYOKA HUJIMEZA MWENYEWE

Haya ni maajabu mengine ya dunia. Hii jamii ya nyoka maarufu kama rat snake kwa kimombo ikikosa msosi hujimeza. Mmoja wao alionekana akijaribu kujimeza mara ya kwanza, mara ya pili alivyojaribu alikufa