Latest Updates

MGODI WAUA WATU 6 MKOANI KILIMANJARO, angalia picha ya jinsi hali ni mbaya



 Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa  miili ya watu walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya ya Moshi vijijini huku wananchi wengine wakishuhudia


 Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu


hao.


Mmoja ya mwili wa mmoja kati ya watu sita waliokufa kwa kufunikwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumuani wilaya ya Moshi vijijini.




 Sehemu ya eneo la tukio


 Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao.


 Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea


 Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa tukio hilo walikuwa wakijaza Moramu likiwa limeangukiwa na ngema iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita.


 Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.



 Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.





 Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.





 Huduma ya kwanza kwa majeruhi


 kamati ya ulinzi na usalama ilikuwepo hadi usiku wa  saa nne jana hadi shughuli ilipomalizika.





 Greda ya manispaa ikijaribu kubeba gari lililoangukiwa na ngema ili zoezi la uopoaji miiili  uendelee kwa urahisi.


 Zoezi likeindelea





 Zoezi likiendelea


 Moja ya miili iliyofukiwa


 Greda likiendelea na juhudi za uokoaji


Miili ya  marehemu waliofukiwa na kifusi ikitolewa katika udongo baada ya kazi ya zaidi ya saa 5 ya kufukua eneo hilo kumalizika..
 
credit: michuzi-matukio blog