
Habari mbaya.
^^ Shinji kagawa amepona, na leo amefanya mazoezi pamoja na wachezaji wenzake. Kama ataendelea vizuri atakuwa tayari kwa mchezo wa kesho.
Habari njema.
^^ "Nawajibika kwa kila aina ya matokeo.
Nataka wachezaji wangu wawe kwenye kiwango bora. Lakini sina shaka watakuwa hivyo.
Ni ngumu, tunahitaji kushinda kila mchezo, tunatakiwa Kumiliki mpira, kupiga pasi makini na kuhakikisha tunatengeneza nafasi nyingi za kufunga."