Prezzo hajapasau kwao Mwanza aka Rock City. Pamoja na kuwa mfalme wa bling Afrika Mashariki na kufahamika kwa kuishi maisha ya kifahari, Lakini Hivi Karibuni Alikwenda Mwanza Kutoa Misaada Kam Jinsi Moyo Wake Ulivyomyuma, Kuweza Kusaidia Watoto Hao Wasio na Misaada.

Picha mbalimbali za Prezzo akiwa kwenye kituo cha Upendo Daima Childrens Home cha Mwanza
Wiki hii aliungana na dada zake Hellen na Kivila Matata wa Mwanza kwenda kutoa misaada kwenye kituo cha kulelea watoto yatima cha Upendo Daima Childrens Home.
