Latest Updates

UFOO SARO AREJEA KAZINI BAADA YA TUKIO LA KUPIGWA RISASI NA MMEWE

MWANDISHI wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro ambaye hivi karibuni alikumbwa na madhila ya kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na mzazi mwenzie, kwa sasa afya yake imeimarika na kurejea kazini.

Kamera ya Matukio iliweza kumkamata katika mmoja ya mkutano wa waandishi wa habari wakati akiuliza swali.