Home » Uncategories » MAKALIO YANGU MAKUBWA NA LAINI , SASA KUNASHIDA INANIKABIRI, SOMA HAPA NA TOA USHAURI
MAKALIO YANGU MAKUBWA NA LAINI , SASA KUNASHIDA INANIKABIRI, SOMA HAPA NA TOA USHAURI
Nina mwili wa kawaida kabisa, ILA hukonyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishikelakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni
Posted