
Album moja inayowajumuisha wasanii wakubwa watano kutoka Nigeria akiwemo Iyanya, Emmanyra, Tekno Selebobo na Baci "The Evolution" inatarajiwa kuingia sokoni mwezi huu.
Wasanii hao ambao kwa pamoja wanajiita TripleMG wataingiza sokoni album hiyo yenye jumla ya nyimbo 14 ikifika May 29