CHEKI NYUMBA YA MSANII MADEE ILIVYO PENDEZA BAADA YA KUIMALIZA KUIJENGA
Rapper wa Manzese, Madee ambaye mwaka jana ulikuwa mwaka wa neeema zaidi kwake katika biashara ya muziki, hatimaye amemaliza ujenzi wa nyumba yake.
Madee ameaonesha picha ya nyumba yake kwa ndani ikiwa imekamilika na kuandika, “FINALLY. ..karibuni ikulu...#MBEZI# @babutale”
Katika hatua nyingine, msanii huyo yuko katika maandalizi ya kuachia wimbo mwingine na amewataka mashabiki wake kutabiri atakuwa ameimba kuhusu nini.
Je Unataka Na Unatamani Kuisikia Ngoma Yangu Inayokuja?? Je unahisi Ntakuwa Nmeongelea Kitu gani?? — Madee (@Madeeseneda)
Posted