Latest Updates

COPY & PASTE--INASEMEKANA DIAMOND KAMWIBIA WABABA MTUKA WIMBO WA KITORONDO,SIKILIZA NGOMA ZOTE MBILI HAPA




INASEMEKANA Diamond Kamwibia Wababa Mtuka Baadhi Ya Mashairi PamoJa na Idea Mzima ya Nyimbo Yake Ya KITORONDO

Track Ya Wababa Inasemekana Imetoka Miaka Miwili Iliyo Pita[2012] iLa Haikupata air Time Yakutosha kwenye RADIO STATION Za BONGO

Track Yenyewe Ya Wababa Hii Hapa Unaweza Isikiliza,
Halafu ya chini yake ni ya Diamond aliyodai imevujishwa na mtu