Latest Updates

Full Time ya Taifa stars vs Zimbabwe May 18 2014


Mechi kati ya Tanzania na Zimbabwe imemalizika kwa matokeo ya ushindi wa goli la Taifa Stars huku Zimbabwe ikitoka bila kupata chochote ambapo goli la stars lilifungwa na John Bocco katika dakika ya 15..