Latest Updates

HABARI PICHA: MFAHAMU MFANYAKAZI WA IKULU ALIYEFARIKI UWANJANI SIKU YA MEI MOSI....




Marehemu Rashid Chilangwa, Mtunza Bustani Mkuu wa Ikulu enzi za uhai wake. Marehemu alifariki dunia siku ya sherehe za Mei Mosi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam



Mwili wa marehemu ukiombewa kabla ya kupelekwa shambani kwake Kisarawe kwa mazishi


Viongozi wa ofisi ya Rais Ikulu wakijadiliana na wanafamilia ya marehemu kuhusu mwenendo wa mazishi