Latest Updates

HAKUNAGA KAMA DIAMOND PLATNUMZ:: AITIKISA MANISPAA YA MTWARA KWA BONGE LA SHOW, CHEKI PICHA




Diamond Platnumz Jana alikinukisha pande za Manispaa yaMtwara kwa Bonge la show ambayo imeandika Historia Mpya kwa Mkoa huo kwa kuwa na watu wengi kuliko Show zote zilizowahi kufanyiika Mkoani Humo, Msanii huyo aliongozana na Mpenzi wake Wema Isack Sepetu. Show hiyo Ilifanyika Makonde Beach.