Latest Updates

HII NDIYO SABABU YA KIFO CHA ADAM KUAMBIANA




Mwenyekiti wa Bongo Muvi Steve Nyerere ametaja sababu za kifo cha msanii mahiri wa filamu za Bongo Adam Kuambiana aliyefariki ghafla jana akikimbizwa hospitali ya mamam Ngoma Mwenge jijini Dar


Pia Steve Nyerere amedai kuwa marehemu Adam Kuambiana alikuwa na matatizo ya tumbo ambayo ndo yadaiwa chanzo cha kifo chake.


“Marehemu alikuwa anasumbuliwa na tumbo tu, yani alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo na ndivyo ilivyotokea.”