Latest Updates

KUMBE STAREHE INAWEZA KUWA DAWA.


Msanii maarufu hapa nchini Tanzania Wema Sepetu amejikuta jana usiku akipona ghafla baada ya marafiki zake kumshawishi waende kula bata a.k.a matanuzi. Marafiki zake hao wakiongozwa na msanii kinara maarufu anayejulikana kwa jina la Aunt Ezekiel, walimfanya mwenzao Wema ambaye iliripotiwa hapo juzi alikuwa anaumwa kujiunga nao na kwenda kula bata. Msanii huyu Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Wema ameonyesha kufurahia sana tukio hilo na kusikitika kuwa hakunywa pombe.
Nilivyokutana na matahira wangu wakanitoa. Dah mgonjwa mimi hata pombe sinywi sasa... Asante sana
Kwa upade wake Aunt Ezekiel aliandika.


My kababy and I... Funny faces... Mgonjwa wangu huyu... Ghafla alipona bila kupenda... love you Wema akee mimi apa saaaana saaana saaaana