Latest Updates

KWANINI MASTAA WETU WA KIKE WA BONGO MOVIES WASIVAE KIHESHIMA KAMA HAWA?!




Hawa ni Mastaa wa Nollyhood, Nigeria...Hapa wapo kwenye EVENT ya maisha ya kwaida (SIO KUIGIZA)...Pendeza Mbaya hakuna Vimini wala Vipedo....



Fathia Balogun, Ireti Osayemi, Dayo Amusa na Liz Da Silva