Latest Updates

Luka Modric Wa Real Madrid Akata Nywele, Marafiki Wasema Amefanana Na Ellen DeGeneras



Ubingwa wa Uefa wabadilisha muonekano wa Kiungo wa Real Madrid Luka Modric huku wengi wakisema ni mpango wa kuwa na muonekano tofauti kwenye kombe la dunia Brazil.
Luka anayefahamika kwa kuwa na nywele ndefu hivi karibuni marafiki zake walisambaza picha wakiwa nae akiwa amenyoa nywele zake na kubadilika kabisa

Comment za marafiki zinasema [ Kanyoa nywele ili muonekano mpya umlete baraka atakapocheza kombe la dunia kwenye timu ya taifa ya Croatia nchini Brazil ]
Hii nyingine inasema Luka amefana na mtangazaji maarufu wa Television Ellen DeGeneras

Hii nyingine inasema Luka amefana na mtangazaji maarufu wa Television Ellen DeGeneras