Latest Updates

MAPENZI NA KAZI KUNAWEZA KUMUHARIBIA DIAMOND KATIKA MUZIKI WAKE!! SOMA HAPA

Huu ni umbea na udaku kutoka Instagram: kadiri ya siku zinavyozidi kwenda mambo yanazidi kupamba Moto: Kwa mujibu wa team moja Huko Instagram ilimuandikia Maneno mazito sana Diamond Platnumz... Bila kuongeza wala kupunguza chochote Ujumbe huu uliandikwa Hivi"



NUKUU: "Nakupenda sana @diamondplatnumz simply bcoz unajitahidi sn ktk muziki wako, napenda sana watu wenye bidii ktk kazi Lakini waswahili wanasema yule aliekupandisha leo, ndio yule yule atakae kushusha kesho, wanaokushangiria leo, kesho ndio hao hao watakao kuzomea! kwa maana najua kama sio Mwanamke Hawa, leo hii tungelikua peponi na baba yetu Adam! Mbaya zaidi mtu anapoanza ku-intergrate kazi na mapenzi, kwa maana ndio kitu kilichowaponza wanaume wengi pale walipoanza kuvimba kichwa na kulewa pombe ya mapenzi baada ya kusikiliza makelele ya watu na kuanza kusahau mwelekeo na kazi zao kwa ujumla. Tulio wengi sana hua tunabisha na kukataa pamoja na kukebehi pale tunapoambiwa ukwel hasa hasa ukwel kuhusiana na maisha Nakuombea kwa mungu akuongezee jicho la 3, kabla waliokwenda Kusi hawajurudi kaskazi Naogopa sana mwelekeo wa hizi story za instagram kuja kubadilika ghafla hasa hasa kubadilikia upande wako, coz najua uchungu wa mambo kua hasi balada ya chanya. Hakuna watu wabaya hapa instagram kama wapambe wa@wemasepetu huaga hawana ajizi ktk swala la kumtukana mtu, wanaweza kukushangiria usiku na wakakuzomea asubuhi#Respect_and_love_nyingi_kwako_rais_wa_WBC#USIK_MWEMA."
MWISHO WA KUNUKUU