Latest Updates

MKE KANISUSIA NYUMBA, KANIACHA NA HOUSE GIRL HUYU




Kaondoka siku tatu sasa zimepita. Simu hapokei wala hajibu sms, kaenda Kigamboni kwa rafiki yake.
Nimeongea na rafiki yake anasema mke wangu kaenda kubadilisha upepo.