Latest Updates

Mwaka Mmoja Umetimia Tangu Msanii, Albert Mangwair @ngwair, Alivyofariki Mnamo Tarehe 28.5. 2013, Hizi Post Na Jumbe Tofauti Za Mastaa Tanzania


May 28 2014 Ni mwaka Mmoja Leo toka Tanzania impoteze msanii Albert Mangwear aliyefariki akiwa South Africa. Ngwear alikuwa rapper mwenye uwezo mkubwa wa kuandika, kutumbuiza na kufanya muziki bora wa rap ulioweza kuishi miaka mingi baada ya kutoka. Ngwear amewahi kufanya kazi na wasanii na producers wengi Tanzania katika kutengeneza muziki wake na muziki wa wasanii wengine.

Ikiwa ni mwaka mmoja toka Tanzania impoteze Albert Mangwear hizi ni Post za wasanii Tanzania kuhusu Mwenzao.