
Tukisema dunia imekwisha watu hawaamini, mimi ninadhani ni wakati wakumgeukia Mungu sasa. Vijana hawo juu wamekamatwa kwa kosa la kufanya mapenzi wote wakiwa chumba kimojana wasichana wao.
Taarifa zinasema baada ya watu kujua upuuzi uliokuwa unafanywa na wanaume hao wakliwa na wapenzi wao wote wakira uroda kwenye chumba kimoja, msamaria mwema alikwenda polisi kutoa taarifa na mara maaskari walikuja na kuwakuta vijana ndani ya mambo kitu roho inapenda(UTAMU KUNOGA).
Hapa wanavishwa pingu kama ishara ya kufahidi uhondo wakufanya mapenzi chumba kimoja.
Kwa sasa vijana hawa wanashikiliwa na polisi tayari kwa kufikishwa mahakamani kujibu shitaka hilo.
Miongoni mwa vijana hawo ambao mmoja wapo ameweza kutambuliwa kwa jina ni Jesse Orowo Omokoh raia wanigeria.