
Waliohost show ni watangazaji wa MTV BASE Vanessa Mdee na Nomuzi Mabena.
Hatimae party la MTV road to Mama Awards 2014 lilidondoshwa Club Bilicanas Dar es salaam usiku wa May 16 2014 ambapo mstaa kibao walihusika kuanzia muziki, siasa mpaka movies.
Kwenye stage walimiliki Sauti Soul kutoka Kenya, Mi casa kutoka South Africa na Diamond Platnumz kutoka bongoflevani ambae alimpandisha Shetta kama suprise hivi wakamaliza kazi.
Tanzania imekua miongoni mwa nchi tatu ambazo party la Mama Awards limedondoshwa 2014 ambapo nchi nyingine ni Nigeria na South Africa.

Shaa, Dyna na Vanessa Mdee

Watu wa media nao walikuwepo, TBC1 na Times FM

Hata bongo movie ndani

Sauti Soul kwa red carpet

Mi Casa kwenye red carpet

Wema Sepetu akihojiwa na MTV BASE

Millen Magese alipokutana na Wema Sepetu

Watu wangu wa nguvu nao walikuwepo yani.

Watu wangu kutoka Bongo5 media group

Ay kwa mbali akiwa na Wanasiasa/Viongozi maarufu wa Tanzania MP kutoka Kigoma kaskazini Zitto Kabwe na Mayor wa Ilala Jerry Silaa kwenye red carpet.

Petitman

Faraja Kyarwenda na Tirra kutoka 88.5 Clouds FM Dar es salaam wakiwa na Dyna.

Master J, P Funk na Joh Makini

My hommie DJ Zero kwa mbaaali

Sauti Soul walipoanza kazi

Fans wa Sauti Sol wakihusika na pichaz

Mi Casa kutoka South Africa wakaanza kazi nao

.

.

Ikafika zamu ya Diamond Platnumz

Watu busy…. hii ni love kubwa sana Watanzania, tuendelee hivihivi kwa watu wetu wa nguvu

Diamond akamleta Shetta kwa suprise kwenye stage na ikawa poa sanaaaa




Pale ambapo BDozen alikutana na mwenyekiti Freeman Mbowe

Nomuzi Mabena na Perfect wa Club10 CloudsFM


Mkubwa na Wanawe


Navvy Kenzo

Selfieeeeeee!!!!!!!!!!