Latest Updates

SHOCKING:ATAKAYE NINUNULIA HILI GARI...NITAKUPA CHOCHOTE!!-MUIGIZAJI


Muigizaji wa kike nchini Kenya, Nini Wacera kupitia ukurasa wake wa facebook amezua mjadala baada ya kuweka picha akiwa amekaa juu ya gari la rafiki yake na kuandika kuwa atayemnunulia gari hili atampa chochote....

if you buy me this car ….I can give you almost anything!”
Unatacha kupewa chochote na huyu MUTOTO?


Nakuweka picha hii:

Daah hili gari ninoma linaonekana bei yake mtu wakawaida hagusi...Haya mapedejee wa Bongo Mtoto huyoo!!!!