Latest Updates

WASICHANA WAPIGA MIZINGA, MNAJIAIBISHA MBELE YA WANAUME



Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke).
Sasa kidogo anaanza kukuambia naomba uninunulie simu yenye whatsapp, mara naomba hela ya mchango wa kitchen party, mara naomba kod ya nyumba, mdogo wangu kafukuzwa shule hana ada, twende Zanzibar holiday.