
Mzee huyo mwenye umri wa miaka 66 akiwa amejinyonga katika eneo la Kijiji cha Kalela Mkoani Rukwa.

Mzee huyo akiwa amejipiga kitanzi
Hivi ndivyo anavyo onekana Miguu ikiwa imeelea Juu

Mashuhuda wakiwa wanashuhudia Tukio hilo

Mwili wa Marehemu ukiwa unatolewa eneo la tukio.