Latest Updates

BAADA YA MZEE MENGI KUTOKEA KWENYE FORBES....K LYINI ATOA YAMOYONI





Siku moja baada ya Forbes kutoa jarida la Afrika yaani FORBES AFRICA... lenye picha ya Mzee Regnald Mengi kwenye ukurasa wa mbele....Mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lyinn amejitokeza na kumpongeza mzazi mwenzie (Mzee Reginald Mengi) kwa hapo alipofikia na anatamani watoko wake wengekuwa wakunbwa wajionee hii....


Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM K-Lyinn aliweka pichi hiyo juu na kuandika hivi" “Congratulations my love, you always make me so proud. I wish Jay and Ry were old enough to understand this now.”
Mzee Mengi tajiri #34 Afrika mwenye utajiri wa dola za kimarekani 550 kwa mujibuwa Forbes 2013.