Latest Updates

BREAKING NEWS! TAARIFA ZINADAI WAZIRI WA ELIMU SHUKURU KAWAMBWA AMEFARIKI DUNIA


Habari ilotufikia hivi punde ni kuwa waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi wa Tanzania mh. Shukuru Kawambwa amefariki dunia.... Bado tupo katika mchakato wa kuthibitisha hili... tumempigia simu ila haipokelewi. Inasemekana alikuwa safarini kuelekea mkoani Mwanza na amepata mshtuko wa ghafla.