Latest Updates

DIVA STOP KWENYE ‘ALA ZA ROHO’










Mtangazaji maarufu wa kipindi cha ‘Ala Za Roho’ Loveness Diva aka Diva The Bawse aliongea kwenye kipindi cha Jahazi kuwa atakuwa likozo kwa Muda.

”Nitakuwa likizo kwa muda hadi Mwezi wa Ramadhani utakapo isha coz Program Manager Sebastian Maganga ameamua kunipa likizo kutokana na kipindi changu hakiendani na Maudhui ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani so Mwezi ukiisha ndiyo nitarudi tena on Air, Mashabiki wa Ala za Roho wasiwe na wasi nitrudi soon ila nitawa Miss sana.”