Oooh Salama amekaa kidumedume nani kasema, ebwana kumbe umzaniaye sie bhana, mtangazaji maarufu wa kipindi cha mkasi Salama Jabir hii leo kaonyesha kumbe ana hisia za kimapenzi, Salama alidhihirisha wazi kumzimia mchezaji maarufu wa timu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa, Karim Benzema...
Hiyo ilikua katika mechi dhidi ya Switzerland na timu ya taifa ya Ufaransa, Salama alikua akihangaika kutweet kwenye wall ya mchezaji huyo huku akionyesha wazi kuwa anamzimaia
cheki hapa baadhi ya tweet zake....