Home » Uncategories » HILI NI BALAA!! SERENA WILLIAMS AVAMIA HARUSI NA NGUO ZA KUOGEA 'BIKINI" TAZAM HAPA
HILI NI BALAA!! SERENA WILLIAMS AVAMIA HARUSI NA NGUO ZA KUOGEA 'BIKINI" TAZAM HAPA
Bikini wedding crasher!'
Hii ni NOUMA sana... mwanadada Serena Williams kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi picha ambazo yeye mwenyewe kaziandika kama " Bikini wedding crasher!" na nyingine akaiandika kama "Wedding crasher!! Congrats" akionekana amevalia kingua cha kuogea ....Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita , Meam
Beach. ambapo Serena alikuwa aki balizi maeneo ya BICHI ..then Maharusi walikuwa wakipiga picha ...walivyo muona wakamuita na kupiganaye picha...
Kwa mujibu wa vyombo vya UDAKU inasemakana Serana na maharusi hao walifurahia tukio hilo...
Posted