Home » Uncategories » HUYU NDIYE MREMBO ANAYESADIKIKA KUWATESA MABOSS WENGI NCHINI KENYA!! PICHA ZAKE ZOTE ZA UTATA ZIPO HAPA
HUYU NDIYE MREMBO ANAYESADIKIKA KUWATESA MABOSS WENGI NCHINI KENYA!! PICHA ZAKE ZOTE ZA UTATA ZIPO HAPA
Leo tumekukutanisha na Mlimbwende ambaye amekuwa akimake Headline katika mitandao mbalimbali ndani na nje ya Kenya. Kwa jina unaweza Muita Corazon Kwamboka, mrembo ambaye anawachanganya maboss wengi sana huko kenya kutokana na Umbo lake la kuvutia. Unaambiwa kila atakapo kuwa anakatiza wanaume wanabaki mdomo wazi wakimshangaa kwa Uzuri wa Umbo lake.Kwa vijana wa kisasa wanaita Umbo no 8.
Posted