Latest Updates

KUMBE SNURA MAMA WA MAJANGA NI MJAMZITO,BABA KIJACHO ATAJWA SOMA HAPA



Snura Mushi
KWA mujibu wa mtu wa karibu wa mwanadada Snura ambaye jina lake
tumelisunda kapuni ameinong'oneza Website hii kwamba Snura alionyesha dalili zooote za ujauzito wakati wakiwa safarini kutoka Iringa kuja Dar baada ya kutoka katika


tour ya Kilimanjaro, Dalili hizo moja wapo ikiwa kutapika mara kwaara.. Aliendelea kufunguka kuwa ujauzito huwo asilimia kubwa utakuwa wa DVJ Hunter wa Maisha Club ya Jijini Mbeya. Mmh.. mi napita tu!



DVJ Hunter