Latest Updates

Kuna Ukweli katika hili? Jiji la Dar Lina Uhaba wa Wanawake Warefu







Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.

Hata ukija na jazba, ukweli ndio huo kuwa wanawake warefu jijini Dar wameadimika sana.