Chanzo cha udaku huu kinasema kuwa mwanadada huyo alizoea sana kucheza na mbwa wa nyumbani kwao, asijue kuwa mbwa anammezea mate kila kukicha!
Siku ilipowadia, mwanadada huyo alitoka shuleni na kuvua sare ya shule na kutupia za nyumbani. Akiwa kainama kufunga kamba ya kiatu cha mguu wake wa kushoto, mbwa akaja kwa kasi sana, pengine akiwa anadhani kuwa kategeshewa goma, na kumrukia msichana huyo!