Latest Updates

MR. BLUE AKANA KUTUMIA MDUDE 0


Msanii wa Hip Hop Tzee Herry Samili aka Mr. Blue alikanusha uvumi uliokuwa ukienea kuwa yeye anatumia Madawa ya kulevya, akiongea na kwa njia ya simu kupitia kipindi cha Power James cha East Africa Radio alifunguka hivi.
”Ili niumiza sana kuhusishwa kuwa natumia Madawa ya Kulevya wakati sio kweli mpaka ikafikia hatua kuwa nikaambiwa nikakae kwa Baba yangu ili kuakikisha kama kweli situmii Madawa kweli nilikaa all most miezi Sita hawakuona chochote na wala uzaifu wowowte ule ndio waka amini kuwa situmii madawa, Ila kwa wale wanaotumia waache coz sio kitu kizuri kwani kina aribu Maisha ya Mtu”.