Mitandao ya kijamii naweza kukili kuwa ndio sababu ya kwanza ambayo inasababisha kumomonyoka kwa maadili hasa kwa nchi za bara la afrika watu maarufu na wasio maarufu wamekuwa wakiweka picha kwenye mitandao ya kijamii lakini picha hizi hazina maadili Picha zinazoonekana hapo chini ni za mtangazaji maarufu hapa nchini kupitia kituo cha clouds Diva akiwa amepost kupitia accaunt yake ya Instagram sasa swali jepesi kama yeye ni kioo cha jamii jamii inajifunza nini kutoka kwake kiukweli mastar wa bongo acheni ulimbukeni jamani usione Rihana kafanya na wewe unataka ufanye ni aibu hata nyie mnao comment ndio mnawapa kiburi huu ni uchafu
Home » Uncategories » MTANGAZAJI MAARUFU ACHAFUA HALI YA HEWA HUKO INSATAGRAM HUU NI ULIMBUKENI NA NI AIBU JAMANI
MTANGAZAJI MAARUFU ACHAFUA HALI YA HEWA HUKO INSATAGRAM HUU NI ULIMBUKENI NA NI AIBU JAMANI

Posted