
Mwanamama BEYONCE kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ameweka picha hizi za zamani baada siku chache kuweka picha kuonyesha mtindo wake mpya wa NYWELE [ONA HAPA] jana ameweka picha hizi zikionyesha mtindo wa Nywele ambao ni sawa naalionao sasa hivi...!!
TAZAMA PICHA HIZO:

Beyonce 1989