Star wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platnumz ambae kwasasa anayo heshima kubwa kwenye Industry ya muziki, kutokana na muziki wake pamoja na kuingia kwenye tuzo za MTV
sans-serif; white-space: nowrap;">MAMA na BET alikuwa kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds Fm ameuongelea muziki wa Taarabu ambao
anaweza kuuimba pia aliwai kuomba na nafasi Jahazi Morden Taarab ya kuimba kabla hajawa
Diamond Platnumz....