Latest Updates

NICK MINAJI AFANYA KUFURU! ONA HIKI KINGUO KINACHOONYESHA MAZIWA YAKE

Hajawahi kuwa mmoja wa wanaoficha maungo yao kwa nguo kubwa lakini alichovaa siku ya jana ilikuwa ni hataru tupu.



Siku ya jumapili kwenye Summer Jam Hip Hop na R&B, Nicki Minaj alionekana akiwa amevaa ki top cha silver chenye kuonyesha maziwa yake kikiwa kimezibwa na alama ya nyota kwenye nipples zake.

Mambo yalizidi kuwaka moto zaidi pale Nicki Minaj alipomrukia Drake kwenye stage na kuzungusha miguu yake kwenye kiuno cha Drake na kumuwekea mikono mabegani na Drake nae kuzungusha mkono wake kwenye kiuno cha Nicki,

kitu ambacho hakikumfurahisha Rihanna ambae alionekana kuweka sura ya mbuzi alipokuwa akitazama waliyokuwa wanayafanya stajini. Rihanna na Drake kwa sasa wameachana aada ya kurudiana mda si mrefu tanguwalipoaznza kudate mwaka 2009 baada yakupokea kipigo kutoka kwa Chris Brown.