Home » Uncategories » Picha Hizi Zimenipa Jibu Kwanini Anamjali Shoga Yake Zaidi Kuliko Mimi Mpenzi Wake
Picha Hizi Zimenipa Jibu Kwanini Anamjali Shoga Yake Zaidi Kuliko Mimi Mpenzi Wake
Machale yalianza kunicheza pale nilipokuta picha za ajabu kwenye simu ya mpenzi wangu akiwa na rafiki yake wa kike chumbani wakifanya mambo yanayo husiana na usagaji, Picha hizo zilinitisha ikabidi nimuulize hakuonyesha kujali nakuona nikama kitu cha kawaida, baadhi ya picha walionekana wakikiss, na nyingine kukumbatiana, ila mpaka leo anabisha anasema walikuwa wancheza tu ...ila nimepata jibu kwanini muda mwingi anaspend na huyo rafiki yake zaidi yangu sometimes hatuonane weekend nzima nikumuuliza anasema yupo kwa shoga yake
Ushauri wadau nimpige chini au Kuna Jinsi ya Kumrekebisha?
Posted