Latest Updates

UNAAMBIWA HAWA NDIO MASTAA WATANO AMBAO KAMERA ZINAWAOGOPA...BOFYA HAPA KUWATAZAMA!!


Vibe inakuletea list ya mastaa wakali ambao wanapogusa camera au mtu yoyote kutaka kuwapiga picha basi tegemea picha moja kali sana na hii ndio maana nzima ya mrembo kuwa photogenic.Mastaa waliofanikiwa kuingia katika list ni :-
Elizabeth Michael (Lulu)
 
Jokate Mwengelo

Wema Sepetu

Jackline Wolper

Linah Sanga