Baada ya Kim K kufanya mambo yake jana na kulaumiwa na watu sana kwa kuyaachia matiti yakehadharani sasa mama yake naye kajibu mapigo zaidi. Zoezi lake allianzia kwenye bwawa la kuogele na hatimaye
kumaliza hivi....Angalia picha zake hapa na umlinganishe na mwanaye Kim k alichokifanya jana halafu useme nani alaumiwe hapa.
